Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Nguo ya kufumwa kutoka Syria

Kitambaa cha kufumwa kilichohamasishwa na Maandiko ya Bahá’u’lláh : "Ewe Rafiki, Katika bustani ya moyo wako usipande chochote bali mauaridi ya upendo..."