Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Nyimbo kutoka mkoa wa quechua wa Chuquisaca

Nyimbo za Kiquechua na Kispanishi zilizotungwa kwa ajili ya miaka mia mbili na vijana wadogo baada ya kuhudhuria kongamano la sanaa na muziki mwezi Julai. 1. Mensaje de Bahá’u’lláh 2. Bicentenario 3. Musuj K’anchay 4. Kay Pacha Kawsay 5. Las Agrupaciones