Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Nyimbo mpya kutoka Nigeria

Kwa heshima ya maadhimisho yajayo ya miaka mia mbili, mwanamuziki Charles Ikpe na Zabi Ikpe walitunga albamu iitwayo Amani ya Ulimwengu. Wimbo wa kwanza unaitwa "Miangaza Pacha" na wa pili "Inuka".