Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Nyimbo tano zilizoandaliwa na wa-Bahá’í wa Iran

Nyimbo hizi tano, zilizotungwa na Wabahá’í huko Iran na zenye mkusanyiko tofauti ya kimuziki, zote ziliandaliwa maalum kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.