Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Nyimbo zilizohamasishwa na Maandiko

Kikundi kidogo cha marafiki kutoka katika kitongoji huko Moldova waliandaa nyimbo zenye dhima ya umoja, huduma na kufundisha.