Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Safari ya maonesho ya vikaragosi Madhya Pradesh, India

Wahusika wa maonesho ya vikaragosi wakijadiliana mada zinazohusiana na miaka mia mbili ya Bahá’u’lláh na maana ya Mafundisho yake kwa elimu ya wanawake.