Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Sala iliyoimbwa kwa lugha ya Kimandarini

Wimbo kutoka Singapore ulitungwa na Michelle Koay kwa ajili ya kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh. Mashairi yake ni: "仁慈的上帝啊!感谢祢唤醒了我,并使我神智清醒。祢惠赐我一双明亮的眼及一对敏锐的耳,引导我至祢的王国,并指引我走向祢的道。。。 使我信念不渝,使我坚定稳健并忠心不贰。。。 祢是仁慈的上帝啊!赐给我一颗有如明镜般的心,以反射出祢慈爱的光辉。赐我意念,以经由意念,经由灵性的恩泽,将这世界转变成玫瑰花园。祢是慈悲的怜悯者!祢是最仁慈的上帝!" "Ee Mungu Mwenye huruma! Shukrani ziwe Kwako kwa kuwa Wewe umeniamsha na kunizindua. Wewe umenipa jicho lionalo na kunijalia sikio lisikialo, umenielekeza kwenye Ufalme Wako na kuniongoza kwenye njia Yako... Niweke imara na nifanye imara na madhubuti... Ewe Mungu Mwenye huruma. Unipe moyo ambao kama kioo, utaweza kuangazwa kwa nuru ya upendo Wako, na unijalie fikira ambazo zitaugeuza ulimwengu huu kuwa bustani ya waridi kwa njia ya mmiminiko wa neema ya mbinguni. Wewe u Mwenye huruma, Mwenye rehema. Wewe u Mungu Mkarimu Mkuu."