Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Sherehe Mafikeng

Jamii ya Wabahá’í wa Mafikeng walisheherekea kwa nyimbo nzuri katika siku ya kwanza ya Sherehe Takatifu Pacha.