Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Sherehe za furaha zaanza Katuyola, Zambia

Jumuiya ya Katuyola, Mwinilunga mashariki, Zambia, wameanza kuwakaribisha wageni kwenye sherehe za miaka mia mbili, wakiijaza anga na nyimbo, wakiimba "Karibuni wageni wetu! Karibuni!Karibuni!Watoto wa Mungu!"