Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Sherehe za kisanii Madrid

Katika kusherehekea tukio, jamii ya Madrid walishiriki kazi za kisanii za muziki na maigizo, ikiwemo muziki uliochezwa kwa cello, kinanda na filimbi. Nyimbo tatu zilifundishwa and kuimbwa - mojwapo kwa lugha ya Kiportuguese.