Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Sherehe zahamasisha kutengenezwa kwa sanaa za ufumaji

Kikundi cha marafiki Ontario, Canada, walitengeneza kitambaa kizuri cha kufuma kilichoitwa " Miti Pacha". Kazi yao, ilihamasishwa na sherehe za ulimwenguni kote za kuadhimisha miaka mia mbili, kitambaa kilikua na vitambaa vingine vilivyoshona kwa umakini.