Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Tamasha la kwaya na bendi katika Nyumba ya Ibada ya Wabahá’í

Kwaya ya Nyumba ya Ibada ya Wabahá’í iliungana na bendi ya Lincoln Chamber Orchestra katika tamasha la Mwanga wa Umoja kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá'u'lláh.