Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Vijana wa Cochabamba, Bolivia, wakicheza dansi

Kwenye siku ya kwanza ya Sherehe za Kuzaliwa pacha kikundi cha vijana wadogo walicheza "Ngoma ya Umasikini" inayohusu kuondoa utajiri na umasikini wa hali ya juu.