Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Vijana wa Dominican Republic waandika ushairi na nyimbo zinazomhusu Bahá'u'lláh

Kwenye mji wa Puerto Plata, Dominican Republic, kikundi cha vijana waandika ushairi na nyimbo zinazomhusu Bahá'u'lláh kuenzi sherehe za miaka mia mbili ya kuzaliwa Kwake.