Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Wimbo kutoka Japani unaoitwa "アドリアノープルからの手紙" (Barua kutoka Adrianople)

Wimbo huu ulihamasishwa na moja ya Waraka wa Bahá’u’lláh. Ushairi, muziki na mchoro wa rangi za maji unaoambatana nao ulitengenezwa na Nao Hara wa Fukuoka Japani.