Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Wimbo kutoka Kuwait kuhusu Sifa na Kuabudu

Wimbo huu wa sifa na kumuabudu Bahá’u’lláh na haja ya kuleta umoja.