Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Wimbo mpya "Bahá’u’lláh yupo nasi mara zote"

Kikundi cha marafiki kutoka Vietnam walitunga na kurekodi wimbo mpya kuadhimisha miaka mia mbili.