Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Wimbo wa Kiajemi

Mistari kutoka ushairi maarufu kutoka kwa mshairi maarufu kutoka miaka ya mwanzoni ya ki-Bahá’í, ‘Andalíb, iliyotungwa kwa ajili ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh. Ushairi unaimbwa kwa heshima kuadhimisha miaka mia mbili ya Siku Takatifu.