Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

Wimbo wa-Kithai uliotungwa kwa ajili ya maadhamisho ya miaka mia mbili

Wimbo uliotungwa na wa-Bahá’í wa Thailand uitwao "Enyi watu wa Dunia" ukiongelea kuhusu jinsi gani watu walivyobarikiwa na wenye furaha kwa kumjua Bahá’u’lláh.