Maonesho Ya Kisanii

Sampuli ndogo kutoka miongoni mwa maonesho ya kisanaa yasiyohesabika yalioandaliwa na watu binafsi na jumuiya mbalimbali ulimwenguni kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili tangu Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh.

"Yule Mwahidiwa" - Wimbo wa Kilao

Vijana kutoka mji mkuu wa Laos, Vientiane, walitunga wimbo kuhusu Bahá’u’lláh ulioitwa "Yule Mwahidiwa" kushiriki na jamii mbali mbali nchini kote.