close

Myanmar

Barabara yakarabitiwa tayari kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili
Huko Didanwa, Myanmar, jamii ilikuja pamoja kukarabati barabara inayoelekea senta ya Kibahai ya kijiji kama mojawapo ya jitihada za maandalizi ya sherehe za miaka mia mbili.