Tovuti Zote
Picha za kuchorwa za Makaburi Matakatifu ya Viongozi Pacha
Picha hizi za kuchorwa kutoka Oman zinaonesha Makaburi ya Báb na Bahá’u’lláh, yaliyoko katika Nchi Takatifu, na hutilia mkazo juu ya uzuri wa kiasili unaovutia wa bustani zinazoyazungukia.