Miaka Mia Mbili Toka Kuzaliwa

Wakihamasishwa na maisha na mafundisho ya Bahá’u’lláh, mamilioni ya watu ulimwenguni kote wanaadhimisha miaka 200 ya kuzaliwa Kwake tarehe 21 na 22 Octoba 2017. SOMA ZAIDI >

Baha’u’llah alizaliwa Tehran mnamo 1817. Karne mbili baadae, siku Yake ya kuzaliwa inasherehekewa dunia nzima pamoja na sherehe za mtangulizi wa Ufunuo Wake, Bab, aliyezaliwa mnamo 1819 siku moja kabla ya siku ya kuzaliwa kwa Baha’u’llah kulingana na kalenda iliyokuwa ikitumika Uajemi. Sikukuu hizi pacha za kuzaliwa zinadhimishwa na Wabaha’i na marafiki zao kama sherehe moja ya kila mwaka ambapo maisha yao na dhamira za Miangaza hii miwili ya Kitakatifu ambayo imefumwa pamoja hukumbukwa.

Matangazo Ya Matukio Kutoka Nyumba Kadhaa Za Ibada Za Kibahai

Ratiba ya Matangazo kama ilivyoandaliwa mwaka 2017

New Delhi, India OCT 20 | 13:00 GMT

Apia, Samoa OCT 20 | 19:00 GMT

Sydney, Australia OCT 21 | 00:00 GMT

Kampala, Uganda OCT 22 | 07:30 GMT

Langenhain, Germany OCT 22 | 11:30 GMT

Santiago, Chile OCT 22 | 18:00 GMT

Wilmette, United States OCT 22 | 20:30 GMT

Port Moresby, PNG Eneo La Hekalu OCT 23 | 02:30 GMT

Norte del Cauca, COL Eneo La HekaluIliyorekodiwa awali OCT 22

Vionjesho kutoka ulimwenguni kote vya siku mbili hizo za Miaka Mia Mbili

Dunia

Afrika

Marekani

Asia

Australasia

Ulaya

Afrika

Chini ni baadhi ya taarifa, picha, na maonesho ya kisanii kutoka Afrika, yakionyesha sherehe zisizohesabika zinazoendelea katika kona mbalimbali za bara hilo

Marekani

Chini ni baadhi ya taarifa, picha, na maonesho ya kisanii kutoka Amerika, yakionyesha sherehe zisizohesabika zinazoendelea katika kona mbalimbali za bara hilo

Asia

Chini ni baadhi ya taarifa, picha, na maonesho ya kisanii kutoka Asia, yakionyesha sherehe zisizohesabika zinazoendelea katika kona mbalimbali za bara hilo

Australasia

Chini ni baadhi ya taarifa, picha, na maonesho ya kisanii kutoka Australasia, yakionyesha sherehe zisizohesabika zinazoendelea katika kona mbalimbali za bara hilo

Ulaya

Chini ni baadhi ya taarifa, picha, na maonesho ya kisanii kutoka Ulaya, yakionyesha sherehe zisizohesabika zinazoendelea katika kona mbalimbali za bara hilo

Hawaii
Sweden
1/6
Inspiring afternoon of music and film in Stockholm, Sweden

Within the walls of the striking Eric Ericson hall, celebrations featured an afternoon of inspiring music and film. The celebration was also attended by a member of parliament.

Kurdistan region of Iraq
1/5
Celebration in Erbil

The bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh is celebrated on the main street leading to the Ashti neighborhood in the city of Erbil.

Macau
4/6
Watercolour postcards from Macau

A set of postcards created in Macau, with artistic renderings of the edifices and places associated with Bahá’u’lláh's life in the Holy Land.

Colombia
1/7
Sherehe Tuchín, Colombia

Sherehe katika mji wa Tuchín ziliakisi tamaduni za kisanii za kanda ya Córdoba Kaskazini mwa Colombia.

USA
1/3
Mural takes shape in Hoboken, USA

An evolving mural took shape over nine days in an urban café in New Jersey, USA highlighting a quote from the Writings of Bahá’u’lláh: "So powerful is the light of unity that it can illuminate...

France
1/5
Handmade bookmarks

These handmade bookmarks from Créteil-Nogent, France were offered as gifts during local celebrations of the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh.

New Zealand
Poem honours Bicentenary

A poem written by an 11 year-old youth from New Zealand for the occasion of the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh.

Panama
Song from Arraijan, Panama about Bahá’u’lláh, The Glory of God
Egypt
1/6
Poem from Egypt about Bahá’u’lláh

This poem, inspired by the bicentenary of the Birth of Bahá’u’lláh, extols this day as the Day “whereon the portal of mercy, grace and understanding hath been unlocked…whereon the most great...

Australia
1/6
Light of Unity concert galvanizes audience

An afternoon of music in Ballarat, Australia, for the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh. The Light of Unity concert featured performances inspired from Bahá’u’lláh’s Writings.

Macau
1/3
Music and publication from Macau entitled “King of Peace”
Switzerland
1/7
Celebrations from across Switzerland
Philippines
Songs about Bahá’u’lláh in Tagalog

Songs about service to humanity sung in Tagalog by children in the Philippines for the occasion of the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh.

United Kingdom
1/2
Poems from the United Kingdom about the bicentenary
Denmark
1/7
Kuwinda hazina huko Copenhagen, Denmark

Uwindaji wa hazina kote katika mji wa Copenhagen, Denmark, uliandaliwa kama sehemu ya sherehe za miaka mia mbili. Picha ziliwekwa maeneo mbali mbali ya majengo ya jiji lote, na, ziliposkaniwa na...

Russia
Music prepared for a concert in Eastern Siberia

Quotations, prayers and songs put to a range of melodies and styles of music for a concert held in Ulan-Ude in Eastern Siberia for the bicentenary of the Birth of Bahá’u’lláh.

Norway
Beacons lit in the mountains of Norway

Arrangements were made for beacons to be lit throughout Norway in honour of the 200th anniversary of the birth of Bahá’u’lláh, starting with Rana in the north and then moving through central Norway...

Hawaii
1/8
Stained glass mosaic

A number of stained glass pieces from Hawaii illuminate the Greatest Name.

Spain
1/3
Sherehe za kisanii Madrid

Katika kusherehekea tukio, jamii ya Madrid walishiriki kazi za kisanii za muziki na maigizo, ikiwemo muziki uliochezwa kwa cello, kinanda na filimbi. Nyimbo tatu zilifundishwa and kuimbwa - mojwapo...

Sweden
Youth from Umeå sing about their love for God
Austria
3/3
Celebrating at philharmonic hall in St. Pölten, Austria
Kuwait
Song about peace and unity

This song from Kuwait was presented for the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh. It is based on a traditional folklore melody from the region.

Bahrain
2/2
Sand animation from Bahrain about the life of Bahá’u’lláh
Switzerland
Poem "Day of Remembrance" from Switzerland

This poem about the bicentenary of the Birth of Bahá’u’lláh was performed as a song at one of the many celebrations that took place in Switzerland.

United Kingdom
Watercolor painting inspired by Writings of Bahá'u'lláh
Chile
1/4
Onesho la La Reina kuhusu maisha na mafundisho ya Bahá’u’lláh

Huku Santiago, Chile, jumuia ya Wabahá’í wa La Reina-jimbo karibu na Nyumba ya Ibada-waliandaa maonesho katika Kituo cha Utamaduni cha La Reina kuonesha picha na taarifa zinazohusiana na maisha na...

Bahrain
1/8
Celebrating peace and unity in Bahrain

The Bahá'í Social Society in the Kingdom of Bahrain organized a reception on the occasion of the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh. More than 120 guests attended this celebration...

Kyrgyzstan
1/2
Painting of Mansion of Mazra’ih made of wool
Barbados
1/3
Works of art from Barbados

Pottery, paintings, and photographs filled the venue of a bicentenary programme in Barbados on the theme of "Cultural Tribute to the Life of Bahá’u’lláh".

Iraq
Poem from Iraq

This poem, about the joyous celebration of the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh, praises the teachings of the Bahá'í Faith and likens it to a beacon of light to the world.

Thailand
1/5
Binti wa Mfalme ahudhuria sherehe za miaka mia mbili Bangkok

Huko Thailand, Familia ya Kifalme iliwakilishwa na Binti wa Mfalme Soamsawali katika sherehe za miaka mia mbili zilizofanyika katika Senta ya Kibahá’í Bangkok. Ratiba ya jioni iliambatana na...

Turkey
1/6
Mchoraji wa michoro ya rangi apata hamasa kutoka Maneno Yaliyofichwa

Akihamasishwa na Maandiko ya Bahá’u’lláh kutoka Maneno Yaliyofichwa, mchoraji wa michoro ya rangi kutoka Antalya, Uturuki, aliandaa kazi za kisanii katika kujiandaa na sherehe za miaka mia...

Laos
1/2
"Yule Mwahidiwa" - Wimbo wa Kilao

Vijana kutoka mji mkuu wa Laos, Vientiane, walitunga wimbo kuhusu Bahá’u’lláh ulioitwa "Yule Mwahidiwa" kushiriki na jamii mbali mbali nchini kote.

Canada
1/2
Poetry inspired by the life of Bahá’u’lláh
USA
1/7
Making of a painting “Bicentenary”

An excerpt from a film on the making of the encaustic painting “Bicentenary” by Carey Corea.

Kazakhstan
1/8
Bicentenary celebration in Almaty
USA
"Beloved" – A poem from the United States
France
1/3
Community celebrations in Marseille

Celebrations in Marseille, France, featured a diverse array of artistic expressions, including musical performances and artwork specifically created for the event. Children from the community made...

Togo
1/3
Sherehe Lome

Sherehe Lome, Togo.

The Netherlands
1/4
Pottery on theme of “Unity in Diversity”

This set of ceramic works was created in The Hague inspired by the theme of unity in diversity, one of the central teachings of Bahá’u’lláh.

Indonesia
1/7
Celebrations with exhibition

In Indonesia, members of the community prepared for an event in Jakarta with songs, dances and cultural performances for the bicentenary. The effort brought together people from all parts of...

Australia
1/4
Michoro ya rangi kusherehekea maisha ya Bahá’u’lláh

Makusanyo tofauti ya kazi sa sanaa, mengine yakionesha vifungu kutoka kutoka katika Maandiko ya Bahá’u’lláh, mengine yalihamasishwa na vipindi muhimu kutoka katika maisha Yake, yanaoneshwa kama...

USA
1/7
Tamasha la kwaya na bendi katika Nyumba ya Ibada ya Wabahá’í

Kwaya ya Nyumba ya Ibada ya Wabahá’í iliungana na bendi ya Lincoln Chamber Orchestra katika tamasha la Mwanga wa Umoja kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá'u'lláh.

Ireland
1/4
Young and old members of Kilkenny community celebrate together

The celebration in Kilkenny, Ireland welcomed guests including four previous city mayors and the Community Radio of Kilkenny City. Guests enjoyed a viewing of the film about Bahá’u’lláh’s life and...

Germany
1/8
Celebration in Berlin

Communities in Berlin together held a celebration embracing the city's diversity. An array of artistic expressions at the gathering gave voice to the hope for a peaceful world.

Indonesia
1/4
New publication in Indonesia about Bahá’u’lláh and His teachings
Kenya
1/5
Bicentenary celebrations in Nairobi

The celebrations in Nairobi, Kenya attracted a large number of attendees, young and old alike, creating an atmosphere filled with joy and offering an opportunity for individuals to form new...

New Zealand
1/8
sherehe zahamasisha uchongaji wa kinyago cha Kimāori

Kikundi cha vijana wadogo wa kitongoji cha Somerfield cha Christchurch walishirikiana na marafiki wenye ujuzi wa Tikanga Māori kubuni pou - kinyago cha utamaduni cha Kimāori.

Vijana...

Uingereza
Kijana aimba kuhusu kuishi kwa Bahá’u’lláh’ kwa muda mfupi katika milima ya Kurdistan

Kijana mdogo kutoka Sheffield Uingereza aliimba kwa Kiswahili kuhusu kuishi kwa Bahá’u’lláh’ kwa muda mfupi katika milima ya Kurdistan.

India
1/3
Vibrant neighbourhood celebrations

Vibrant neighbourhood celebrations across India included a musical drama on the life and vision of Bahá’u’lláh in a local language, prayers and devotional songs as well as dances and skits on...

Mozambique
1/5
Mozambique celebrations

Around 120 people gathered for a bicentenary celebration in Maputo, Mozambique. Some of the youth presented a short play for those who had gathered.

The Netherlands
1/7
Communities across the Netherlands celebrate
Colombia
1/6
Sherehe Los Castillos

Huko Los Castillos, kijiji kidogo kilichojengwa na familia 150, jamii ya Zenú ya watu wa asili walisherehekea miaka mia mbili kwa sherehe iliyochangamka iliyoambatana na dansi ya porro - dansi ya...

Turkey
Traditional Turkish song

Created by a composer from Sivas, Turkey specifically for the bicentenary celebrations, this musical piece is arranged in the style of a traditional Turkish folksong, known as a türkü.

Italy
1/6
Italy celebrates bicentenary

Catania, Milan, Rome, Portici, and Curtatone are among the communities that held commemorative events over the weekend. Throughout the country, hundreds gathered and enjoyed celebrations filled...

Cambodia
1/6
Battambang celebrations unfold at local House of Worship

The bicentenary celebrations held at the recently inaugurated local Bahá'í House of Worship in Battambang, Cambodia, attracted more than 1,000 people. Prayer readings in the Temple were...

South Africa
1/8
Johannesburg celebrates

Around 700 people gathered in Johannesburg, South Africa, to celebrate the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh, with a programme that included choir pieces and a South African gumboot dance....

Brazili
1/6
Makabila ya asili wamuenzi Bahá’u’lláh kwa sherehe maalum.

Wajumbe wa kabila la Kiriri, kabila la asili huko Brazili mashariki, walienzi maadhimisho ya miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh kwa sherehe maalum ya Toré- desturi ambayo jamii hukutana...

Moldova
Nyimbo zilizohamasishwa na Maandiko

Kikundi kidogo cha marafiki kutoka katika kitongoji huko Moldova waliandaa nyimbo zenye dhima ya umoja, huduma na kufundisha.

Pakistan
1/7
Celebrations in Rahim Yar Khan

In the city of Rahim Yar Khan in the Punjab province of Pakistan, the Bahá’í community gathered to commemorate the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh.

Ugiriki
1/3
Kitongoji Ugiriki chasherehekea miaka mia mbili

Jumuia Ugiriki waliandaa tukio lililoitwa "Kusherehekea Umoja katika Utofauti" na kualika majirani karibia 200 na marafiki.

Guyana
1/4
Communities throughout Guyana participate in the celebrations

Friends and families in communities across Guyana gathered together for the weekend celebrations.

Malaysia
1/5
Sherehe tofauti Sabah

Jamii huko Sabah zilisherehekea miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh kwa muziki, maonesho, matembezi ya nyumba za jumuia na michezo.

Uholanzi
1/7
Sherehe katika Taasisi ya sanaa Hague, Uholanzi

Katika studio za Pulchri Hague, wageni walikusanyika kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh. Studio za Pulchri pia zilikuwa wakaribishaji wa kongomano la kwanza la baraza...

Singapore
1/6
Maonesho Singapore kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili

Maonesho mapya katika senta ya Wabahá’í huko singapore ilirejesha tena mazingira ya Bustani ya Riḍván.

New Zealand
1/4
Vitongoji vyasherehekea New Zealand
India
1/8
Guests attend evening of performances at House of Worship in Delhi

A reception for the occasion of the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh was held at the Bahá’í House of Worship in Delhi, India featuring various artistic performances.

Spain
Onesho la muziki katika visiwa vya Canary

Huko Gran Canaria, kisiwa cha visiwa vya Canary, kikundi cha marafiki kutoka kitongoji cha Jinamar walionesha onesho la muziki kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa...

Italy
Lullaby from Italy

Grandparents composed a lullaby for their grandson for the occasion of the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh. The words were inspired by a story about a dream that Bahá’u’lláh’s father had,...

Moldova
1/8
Matamasha katika vitongoji kote Chișinău ilisherehekea miaka mia mbili

Katika vitongoji vya Belti, Botanica, Buiucani, Ciocoville, Dubossari na Riscanovca huko Chișinău, jamii ya Wabahá'í walikaribisha majirani zao na marafiki katika sherehe za nje, ambapo hadithi...

Ghana
1/2
Arts and music feature at bicentenary celebration in Ghana

In Accra, Ghana, the Bahá'í community hosted a reception at the Ghana Academy of Arts and Sciences to commemorate the bicentenary of the birth of Bahá’u’lláh with a programme of arts and...

PNG
1/8
Sherehe katika eneo la Nyumba ya Ibada Papua New Guinea

Jamii huko Port Moresby, Papua New Guinea walikusanyika katika eneo ambalo nyumba ya kwanza ya Ibada ya Kibahá’í ya kitaifa itajengwa.

DRC
1/3
Sherehe za miaka mia mbili Kinshasa
Cambodia
1/2
Mihuri ya ukumbusho kuoneshwa Cambodia kuenzi sherehe za miaka mia mbili

Wizara ya posta ya Cambodia inasheherekea miaka 200 ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Baha’u’llah kwa mihuri ya makumbusho. Mihuri, ambayo bado inatengenezwa, inatengenezwa kwa ushirikiano kati ya jamii...

Afrika ya Kusini
Jamii mbali mbali Afrika Kusini zikisherehekea
Jordan
4/5
Kuchunguza jinsi sanaa inavyotengeneza maelewano ya kijamii

Kikundi cha vijana wa Jordan walitayarisha maonesho ya kisanii katika eneo zilipofanyika sherehe za miaka mia mbili juu ya dhima ya jinsi gani sanaa ingeweza kuchangia maelewano kati ya dini na...

Kanada
Mchoro wa rangi uitwao "Lijue kusudi lako" ikiwakilisha umoja wa binadamu
Turkmenistan
1/3
Jumuia zakusanyika Ashgabat

Katika sherehe zilizofanyika katika senta ya Kibahá’í huko Ashgabat, jumuia ilijikumbusha maisha na mafundisho ya Báb na Bahá’u’lláh.

Namibia
1/2
sherehe za miaka mia mbili Windhoek, Namibia
Kazakhstan
3/6
Mafundisho ya Bahá’u’lláh yahamasisha maonesho ya kisanii

Kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh mchoraji wa rangi wa Kikazakh Lyazzat Serzhan alionesha seti mpya ya michoro ya rangi katika maonesho ya hivi karibuni huko Uralsk,...

Nepal
1/6
Sherehe katika mkoa wa mashariki wa Nepal

Katika vitongoji kote katika mikoa ya mashariki ya Nepal sherehe zilikusanya namba kubwa ya mikutano ya kuvuta mioyo. Mnamo watu 1,500 walijiunga na mikusanyiko hii.

Croatia
Kikundi chakusanyika huko Rijeka kusherehekea miaka mia mbili
Ukraine
Kongamano la kitaaluma lilionesha ushawishi wa Bahá’u’lláh katika dini huko Kiev

Kongamano la kitaaluma lililoandaliwa na taaluma ya dini, philosophia, na mafunzo ya utamaduni katika vyuo mabli mbali vya Ukraine lilifanyika kuenzi miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa...

Honduras
1/4
Wabahá’í wa Honduras walishiriki kwenye maandamano ya maua

Jamii ya WaBahá’í ya Siguatepeque walishiriki katika maandamano ya Tamasha la Maua katika jumuia yao. Jukwaa l ya rangi rangi ilirembwa na vifungu kutoka mafundisho ya Bahá’u’lláh, ikiwemo:...

Rwanda
Ngoma ya asilia Rwanda

Huko Rwanda, sherehe za miaka mia mbili zilijumuisha ngoma ya asili ya Intore.

Ethiopia
Wimbo uliotungwa kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili
Jamhuri ya Afrika ya Kati
Ngoma ya asili ikichezwa Bangui, Jamhuri ya Afrika ya Kati, kwa watu 400
Azerbaijan
Pakistan
1/7
Culture and arts come together in Pakistan celebration

The Lok Virsa Museum of Cultural Heritage held a celebration infused with music and folk dance for the bicentenary of the Birth of Bahá'u'lláh. Some 500 people from all over Islamabad...

Ukraine
1/8
Joyful celebrations throughout Ukraine

In cities and neighbourhoods around the country, many gathered together to commemorate the bicentenary of the Birth of Bahá’u’lláh.

Chile
1/7
Maonesho katika Nyumba ya Ibada

Maonesho ya maisha ya Báb na Bahá’u’lláh yaliwakaribisha wageni walipokua wakiingia katika Nyumba ya Ibada ya Kibahá’í.

Spain
1/7
Celebrating Bahá’u’lláh in the neighbourhoods of Madrid

In the central square of a Madrid neighbourhood, the local community hosted a festival with six tents and an array of outdoor activities.

Russia
1/3
Celebration showcases diverse arts

An array of rich artistic performances – a duet of classical and modern music, a ballroom dance demonstrating the principle of the equality of men and women, an oratorio entitled “O Bahá’u’lláh!,”...

Germany
1/5
Commemorations at Bahá’í House of Worship include choral music
Ufilipino
1/8
Tamasha la watoto Paranaque, Ufilipino

Familia huko Paranaque, Ufilipino, walisaidia kuandaa sherehe za watoto katika mitaa yao, ambazo zilihudhuriwa na zaidi ya watoto 100.

Haiti
1/3
Bicentenary celebrations across Haiti
Afrika ya Kusini
Sherehe Mafikeng

Jamii ya Wabahá’í wa Mafikeng walisheherekea kwa nyimbo nzuri katika siku ya kwanza ya Sherehe Takatifu Pacha.

Colombia
1/5
Bahá’í school bicentenary celebration

Children from a Bahá’í school in Norte del Cauca celebrate the bicentenary with presentations of art work, songs by a choir and traditional costumes and dances.

Canada
1/8
Sherehe pande zote za Toronto, Canada

Katika vitongoji vya Toronto, sherehe za miaka mia mbili zilifanyika katika nyumba, senta za jumuia, hifadhi na majukwaa ya mashuleni. Jamii zilishirikiana zenyewe kwa sala, maandiko na hadithi...

Australia
3/5
Sherehe za Stonington

Jamii huko Melbourne, Australia waliadhimisha miaka mia mbili kwa ratiba iliyojaa muziki, maigizo na sala.

Argentina
Mji wa Rosario kuenzi miaka mia mbili

Manispaa ya mji wa Rosario, Argentina, mji dada wa Haifa, Israel, walisheherekea kuenzi Siku za Kuzaliwa Pacha.

Makao Makuu ya Wabahá’í
1/5
Kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh kwaadhimishwa katika mipaka ya Kaburi Lake Takatifu
Ufaransa
Albania
Mti wa mzeituni wapandwa Albania

Kama mojawapo ya sherehe za miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh, kikundi cha watoto na vijana, pamoja na walimu wao, wazazi, na marafiki walipanda mti wa mzeituni karibu na shule ya jirani...

Urusi
4/4
Wabahá’í wa Vladivostok washerekea miaka mia mbili na majirani na marafiki
Uzbekistan
Msanii wa Uzbekistan atunga nyimbo kuhusu Bahá’u’lláh kusheherekea miaka mia mbili
Makao Makuu ya Kibahá'í
1/5
Hema la Bahá’u’lláh lawekwa Bahji

Katika tukio la kusherehekea miaka mia mbili katika Nchi Takatifu, mojawapo ya hema ambapo Bahá’u’lláh aliishi, liliwekwa kwenye ardhi ya Bahji kwa ajili ya mahujaji na...

Slovakia
3/4
Sherehe Bratislava, Slovakia

Katika Senta ya Kibahá’í Bratislava, sherehe ilifanyika kuadhimisha miaka mia mbili. Viongozi, makundi ya imani tofauti, na mashirika yasiyo ya serikali yanayofanya kazi kwa karibu na jamii ya...

Tanzania
Kwaya ya vijana ikiimba Dar es Salaam, Tanzania
Kosovo
1/2
Kosovo washerekea kwa muziki, maigizo

Ikiwa na heshima, ratiba ya muziki na igizo ilifanyika katika mji wa Pristina Kosovo. Kwaya ya utaalamu na mtaalamu mwimbaji opera aliimba wimbo katika sherehe. Nyimbo nyingi zilizoimbwa zilitungwa...

Gambia
1/2
Sherehe za kuadhimisha miaka mia mbili Banjul, Gambia
Uholanzi
1/4
Miti ilichangiwa na kupandwa Uholanzi

Katika miji miwili Uholanzi, jumuia ya Wabahá’í ilichangia miti miwili ya milotas kwa manispaa kwenye tukio la kusheherekea miaka mia mbili. Kulikua na sherehe ya kupanda kila mti. Katika mji...

El Savador
3/8
Sherehe za El Savador zawajumuisha watu wazima na watoto

Ukumbi huko Santa Tecla, El Savador, ulijaa wakati jumuia ikikusanyika kuangalia filamu ya Mwanga wa Dunia. Mapema siku hiyo, watoto kutoka shule ya Riḍván walikua na sherehe ya kipekee ya...

Japan
1/2
Kusali pamoja kwa jamii ya Nakagawa, Japan
Uturuki
4/8
Muziki waijaza sherehe huko Uturuki

Katika nyumba na senta Uturuki yote, muziki na maandiko na nyimbo za maandiko matakatifu zilizijaza sherehe na roho ya kipekee. Wimbo wa utamaduni wa Kituruki, au "turku", ulitungwa kwa...

Uingereza
4/6
Wasanii wa Hackney, London, watengeneza kazi za kisanii zilizohamasishwa na mafundisho ya Bahá’u’lláh

Wabahá’í wanaoishi Hackney London ya mashariki walialika wasanii wa mtaani kushiriki kwenye sherehe zilizohusiana na sherehe za miaka mia mbili kwa kutengeneza kazi za kipekee za sanaa zilizo...

Antigua and Barbuda
1/2
Puppet show in Antigua on stories from the history of the Bahá’í Faith
Kazakhstan
Muziki kwa ajili ya filamu kuhusu Wabahá’í wa Kazakhstan
Hong Kong
1/3
Matukio katika sherehe za kuadhimisha miaka mia mbili Hong kong
Azerbaijan
1/3
Sherehe za miaka mia mbili Baku, Azerbaijan

Watoto na vijana walionesha nyimbo na dansi tofauti za kiroho zilizohamasishwa na utamaduni wa ndani na Imani inayokumbatia ulimwengu wote.

Bolivia
Video ya muziki ya vijana wa Chuquisaca, Bolivia

Vijana kutoka eneo la milima ya Andes ya Bolivia waliunda kikundi cha muziki kiitwacho Mianga ya Miongozo na kutengeneza DVD yenye video sita kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa...

Brazil
Mji wa Brazil kumuenzi Bahá’u’lláh kwa uchongaji kuhusu umoja

Mji wa Brazil wa Mogi Guaçu wakienzi miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Baha’u’llah kwa michongo ambayo itawekwa katika eneo la wazi. Ilipendekezwa na Meya na kutengenezwa na msanifu wa eneo, mchongo...

Canada
Maandiko ya Bahá’u’lláh yawekwa kwenye muziki

Mwanamuziki wa Canada Jason Bienia, akisindikizwa na Shadi Tolou-Wallace, walitunga nyimbo mbili zilizohamasishwa na Maandiko ya Bahá’u’lláh.

Ujerumani
Matangazo ya moja kwa moja kutoka Nyumba ya Ibada Ujerumani yakianza
Zimbabwe
1/2
Usiku wa masimulizi ya hadithi za maisha ya Bahá’u’lláh
Mynamar
1/3
Matembezi katika kituo cha yatima cha monasteri

Katika tukio la kuadhimisha kusherekea miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh, kikundi cha marafiki kilitembelea kituo cha watoto yatima huko kusini mwa Okkalapa kuimba nyimbo na kusali na...

Norway
1/6
Maonesho ya sanaa ya watoto Lørenskog

Watoto na vijana chipukizi wa Lørenskog, walishiriki sanaa zilizotengenezwa kwa maonesho maalum ya miaka mia mbili.

Italia
3/8
Sherehe kaskazini ya Italy

Jumuia yenye Wabahá’í chini ya ishirini katika mji wa Lecco waliandaa sherehe iliyohudhuriwa na kufikia watu 200.

Austria
1/3
Sherehe Vienna

Sherehe kubwa ilifanyika katika Senta ya Kibahá’í ya Kitaifa Ijumaa jioni ikiwa na wawakilishi kutoka jamii za dini mbali mbali kusheherekea kuzaliwa kwa Báb na kuanza kwa sherehe za kuadhimisha...

Uganda
Maonesho ya moja kwa moja kutoka Nyumba ya Ibada ya Uganda yakianza
Turkmenistan
3/5
Sherehe Asghabat

Kwenye mji ambao Nyumba ya kwanza ya Ibada ya Kibahá’í ilijengwa, sherehe zenye furaha zilifanyika kuenzi miaka mia mbili.

Burkina Faso
3/3
Watu mia mbili wakusanyika kusherehekea Ouagadougou
Afrika Kusini
Hadithi za Bahá’u’lláh zikihadithiwa kwa lugha tofauti

Kikundi cha marafiki kutoka Tshwane, Afrika ya Kusini, walitengeneza video kwa ajili ya miaka mia mbili. Video hizo ziliwaonesha wakiwa wanahadithia hadithi, kila moja ilionesha upendo wa pekee kwa...

USA
1/3
Ngoma za kiasili za kitanzi huko Illnois

Wabahá’í wamerekani wa asili wa makabila ya Lakota na Anishnabe walicheza muziki wa asili kwa kutumia vitanzi katika tukio la kuenzi miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh pamoja na Siku ya...

Armenia
4/6
Sherehe Yerevan yaonesha utamaduni mkubwa

Huko Yerevan, Armenia, watu 150 walihudhuria sherehe kuadhimisha miaka miwili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh. Ratiba ilijumuisha sala iliyoimbwa kwa usanifu na kuonesha filamu ya Mwanga wa...

Russia
1/4
A sonnet completed for the bicentenary

Started 19 years ago, this poem about God's Revelation and the coming of Bahá’u’lláh was completed for the bicentenary.

Cameroon
Bicentenary celebration in Mbotoro, Cameroon

The Mbotoro community celebrates the bicentenary of the Birth of Bahá’u’lláh. Among those gathered was the Chief of the village.

Guinea-Bissau
Sherehe Gabu, Guinea-Bissau
Pakistan
1/7
Sherehe huria katika kitongoji cha Sindh, Pakistan

Msafara mdogo ulitembelea jumuia zilizosambaa kwenye eneo la mashariki ya Sindh, Pakistani, wakicheza wimbo wenye dhima kwa lugha ya asili, ulioandaliwa mahsusi kwa ajili ya kuadhimisha miaka mia...

Canada
1/2
Michoro ya rangi ya mlima Carmel

Mfano wa Mlima Carmel, ambao Bahá’u’lláh alitembelea miaka aliyoishi Mji Mtakatifu.

Malaysia
1/4
Kijiji cha Asli chasherehekea miaka mia mbili

Watu wa asili katika jamii ya Asli wa Kampung Chang washeherekea miaka mia mbili na shughuli za kushirikiana.

Syria
Sri Lanka
1/4
Vijitabu vipya kuhusu Bahá’u’lláh

Wabahá’í wa Sri Lanka, katika kuadhimisha sherehe za miaka mia mbili, walitengeneza vijitabu vidogo kadhaa kuhusu Bahá’u’lláh.

Makao Makuu ya Kibahá’í
1/7
Maadhimisho Mji Mtakatifu yaashiria kuzaliwa kwa Báb
Misri
1/3
Michoro ya watoto kutoka Misri kuhusu kanuni za Imani ya Kibahá’í
India
3/4
Jumuia za Kurseong na Udaipur zasheherekea maisha na mafundisho ya Báb na Bahá’u’lláh
Germany
4/6
Maonesho yakusisimua yafanyika Frankfurt

Katika wiki ya kwanza ya Oktoba, ukumbi mkubwa kwenye jengo maarufu huko Frankfurt lilionesha maonesho ya maisha ya Bahá’u’lláh. Jamii ya Wa bahá’í walikabidhiwa ukumbi huo na ofisi ya meya, pamoja...

Dominika
1/4
Jumuia yakusanyika katika kuta zilizopakwa rangi kwa ajili ya maadhamisho ya miaka mbili

Katika visiwa vya Karribien vya Dominika, vijana wa Kibahá’í katika mji mkuu wa Roseau walichora picha za kupaka rangi ukutani katika senta ya Kibahá’í kama zawadi ya sherehe za miaka mia mbili....

Uzbekistan
1/8
Wageni 180 wajiunga na sherehe Tashkent

Mji ambao - zamani ulikua ni kituo cha biashara katika barabara ya hariri ya kale - mji mkuu wa Uzbekistan. Ni mji wenye misikiti na makanisa, na njia nzuri, yenye maeneo ya kukaa yenye kukaribisha...

Estonia
1/8
Bicentenary celebrations in Tartu, Estonia

Celebrations in Tartu, Estonia, were enriched with musical performances, story-telling and viewing the film Light to the World.

Spain
Makusanyo ya nyimbo yaliyotokana na hamasa ya sherehe za miaka mia mbili

Wakihamasishwa na dhana na vifungu kutoka Maandiko ya Kibahá’í, pamoja na matukio ya kuvutia kutoka katika historia ya Imani, wanamuziki kutoka Spain walikusanya albamu ya nyimbo za maadhimishao ya...

DRC
1/2
Maelfu yahudhuria sherehe Lubumbashi

Maelfu yahudhuria sherehe za miaka mia mbili Lubumbashi.

Kurdistan mkoa wa Iraki
Dansi kuonesha mafundisho ya Bahá’u’lláh

Katika mji wa Sulaymaniyah- mji ambao Bahá’u’lláh alitembelea wakati wa miaka miwili aliyoishi Kurdistan - watu wa jamii hiyo walisheherekea sherehe za miaka mia mbili kwa kucheza dansi iliyoitwa...

Greenland
1/3
Celebrations in Nuuk, Greenland
Bolivia
Vijana wa Cochabamba, Bolivia, wakicheza dansi

Kwenye siku ya kwanza ya Sherehe za Kuzaliwa pacha kikundi cha vijana wadogo walicheza "Ngoma ya Umasikini" inayohusu kuondoa utajiri na umasikini wa hali ya juu.

Canada
Chile
1/5
Jumuia ya Peñalolén yasheherekea miaka mia mbili

Katika sherehe za miaka mia mbili, jamii ya Peñalolén ilikusanyika katika Nyumba ya Ibada kushiriki sala, nyimbo, na hadithi.

Kyrgyzstan
1/8
Sherehe za Bishkek zavutia watu 300

Bishkek- mji mkuu wa Kyrgyzstan - ni mji wenye mitaa mikubwa, ikizungukwa na milima iliyofunikwa kwa theluji ya Ala-Too. Kwa miezi mingi, jamii ya Wabahá’í walifanya kazi ya kuwaalika marafiki...

Romania
Sherehe Romania zaleta watu pamoja katika jumuia

Huko Toplita, sherehe za miaka mia mbili za kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh za kitongoji zilileta kwa pamoja watu 130 kutoka maeneo mbali mbali kwenye tukio la furaha, likijazwa kwa muziki na dansi....

Bolivia
Nyimbo kutoka mkoa wa quechua wa Chuquisaca

Nyimbo za Kiquechua na Kispanishi zilizotungwa kwa ajili ya miaka mia mbili na vijana wadogo baada ya kuhudhuria kongamano la sanaa na muziki mwezi Julai.

  1. Mensaje de...
India
1/3
Huko India, sherehe za miaka mia mbili zahamasisha matendo ya huduma na sadaka

Matendo ya huduma yalitolewa India kuenzi sikukuu za miaka mia mbili. Huko Sambalpur, kikundi cha vijana chipukizi waliandaa kuangalia sickle cell, makundi ya damu na msukumo wa damu kwa wakazi...

Denmark
1/2
Kushiriki kwa pamoja na vipande 200 vya keki

Jumuia ya Wabahá’í wa Aalborg, Denmark, walisambaza vipande 200 vya keki katika tukio la wazi la kuenzi miaka mia mbili. Tukio hilo pia lilijumuisha bango maalum lenye maandiko yanayojulikana...

Uingereza
1/6
Kijitabu cha kuadhimisha miaka 200 ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh

Jamii ya ki-Bahá’í ya Uingereza iliandaa kijitabu kizuri kilichosambazwa kwa watu wote waliopenda kujifunza zaidi juu ya Bahá’u’lláh katika kipindi cha kuadhimisha miaka mia mbili.

Dominican Republic
1/4
Vijana wa Dominican Republic waandika ushairi na nyimbo zinazomhusu Bahá'u'lláh

Kwenye mji wa Puerto Plata, Dominican Republic, kikundi cha vijana waandika ushairi na nyimbo zinazomhusu Bahá'u'lláh kuenzi sherehe za miaka mia mbili ya kuzaliwa Kwake.

USA
Uganda
Kwaya ya Uganda wakiimba sala katika Hekalu

Ee Mungu wangu! Ee Mungu wangu! Unganisha mioyo ya watumishi Wako, na uwafunulie kusudi Lako kuu. Waweze kufuata amri Zako na kudumu katika sheria Yako. Uwasaidie, Ee Mungu, katika jitihada yao, na...

Australia
3/5
Maonesho katika miji huko Queensland ikiangalia dhima ya 'nuru' kupitia sanaa

Wasanii kutoka Queensland, Australia, wameshirikiana kuweka maonesho, yaitwayo "niangazie", kuenzi sherehe za miaka mia mbili. Maonesho na natukio yaliyoambatana nayo yalijumuisha...

East Timor
Nobel Peace Laureate joins Bahá’ís for bicentenary celebration in East Timor

Jose Ramos-Horta, Nobel Peace Prize Laureate from East Timor, gave a special address at a bicentenary celebration with the Bahá’ís of that country. Dr. Ramos-Horta talked about the importance of...

Brazil
1/7
Darasa la watoto na kikundi cha vijana chipukizi Kiriri, Brazil

Katika maandalizi ya maadhimisho ya miaka mia mbili katika jumuiya ya Kiriri huko Banzae, Brazil, kikundi cha vijana walifanya kazi za sanaa ili kushirikiana na jamii katika kuadhimisha sherehe zao...

Sweden
1/4
Jumuia ya Kibahá'í wakiandaa tukio katika nyumba ya makumbusho Sweden

Katika nyumba ya makumbusho Stockholm jioni ya tarehe 18 Oktoba, mjumbe wa jamii ya ki- Baha’i aliongelea kuhusu historia ya Imani ya ki- Baha’i katika nchi na akatoa mtazamo wa ki- Baha’i katika...

DRC
Maandamano ya miaka mia mbili Goma

Marafiki huko Goma wakiimba na kucheza wakiandamana kutoka makao makuu hadi kati kati ya mji.

Hii iliashiria mwanzo wa sherehe za miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá'u'lláh katika...

Brazili
1/8
Kitabu cha picha chenye kuhamisisha uhusiano wa Sehemu takatifu za ki-Bahá’í katika mji Mtakatifu

Kitabu cha picha, kiitwacho "Kibla ya Jumuiya ya Dunia", kimechapishwa Brazil katika jitihada za kuonesha uzuri na ubora wa Sehemu Takatifu za ki-Bahá’í.

Switzerland
1/5
Sherehe Zug, Switzerland

Katikati ya Switzerland, jamii ya Zug iliandaa sherehe kuanza sikukuu za mwisho wa wiki zilizojumuisha sala na shughuli za sanaa za mikono.

Trinidad na Tobago
1/4
Rais wa Trinidad na Tobago awasilisha ujumbe wa kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh

Tarehe 19 Oktoba wawakilishi wa Kibahá’í walikutana na Rais wa Trinidad na Tobago, Anthony Thomas Aquinas Carmona, ambaye aliweka saini na kuwakilisha ujumbe kwa jamii ya Kibahá'í.

USA
1/8
Sherehe za dansi Bronx, Mji wa New York

Eneo la Bronx katika mji wa New York ni eneo lenye vitongoji vilivyoshamiri na sehemu ambayo muziki wa hip hop ulianza kuanzia miaka ya sabini. Muziki wa hip hop, mchanganyiko wa muziki wenye...

Bahrain
1/8
Celebrating in Bahrain

Celeberations in various communities in Bahrain for the bicentenary of the Birth of Bahá’u’lláh.

Bahrain
Vanuatu
1/3
Filamu ya kitaifa kuhusu Mafundisho ya Bahá’u’lláh

Wabahá’í wa Vanuatu waliandaa filamu inayohusu matokeo ambayo mafundisho ya Bahá’u’lláh yalivyo katika maisha yao na jamii itakayoneshwa katika kituo cha kitaifa cha televisheni.

Australia
3/4
Igizo shirikishi lahuisha historia ya Kibahá’í

Mwaka uliopita, kikundi cha vijana 18 walikutana pamoja kila juma kwa masaa machache kuanza kujaribu "maigizo shirikishi" vipande kuhusu maisha ya Bahá’u’lláh na Báb. Kwa mfano,...

Botswana
1/7
Maonesho ya sanaa kwa maadhimisho ya miaka mia mbili
Australia
Sherehe ya kusisimua katika wodi ya hospitali

Huko pwani ya mbali ya Kaskazini mwa New South Wales, Australia, Mbahá’í mzee sana alilazwa wiki chache kabla hajafariki.

Wakati tarehe za kuadhimisha miaka mia mbili, mgonjwa na familia...

Bahrain
1/5
Kaligrafia kutoka Bahrain

Kaligrafia hizi nne ya rangi za mafuta zilitengenezwa kwa ajili ya tukio la miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh. Kipande cha kwanza ni kifungu kutoka kwenye mojawapo ya Maandiko Yake :...

Ireland
Filamu fupi 95 katika siku 95

Huku Ireland, jamii ya wa-Bahá’í ilitengeneza filamu fupi 95, kila siku, hadi kufikia sherehe za miaka mia mbili. Filamu zilizopo hapa zinasimulia matukio mafupi ya maisha ya Bahá’u’lláh na...

India
1/3
Igizo likonesha matukio kutoka maisha ya Bahá'u'lláh

Kutoka na shauku ya moyoni ya kushiriki na marafiki na familia ujumbe juu ya maisha ya Bahá'u'lláh, kikundi cha vijana wadogo kutoka mji wa Pune waliamua kuandaa igizo. Miezi michache...

Kanada
1/5
Uchongaji wa mbao uliotengenezwa kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili

Wa-bahá’í wa Duncan, mji uliopo mabonde ya Cowichan kwenye kisiwa cha Vancouver, waliwasilisha benchi maalumu lilichongwa katika sherehe ya kiutamaduni ya Cowichan sherehe ilyofanyika katika nyumba...

Zambia
Sherehe za furaha zaanza Katuyola, Zambia

Jumuiya ya Katuyola, Mwinilunga mashariki, Zambia, wameanza kuwakaribisha wageni kwenye sherehe za miaka mia mbili, wakiijaza anga na nyimbo, wakiimba "Karibuni wageni wetu!...

Colombia
Sherehe katika shule huko Norte del Cauca

Vijana kutoka El Chamizo, colombia, walihamashika kuandaa sherehe yao ya miaka mia mbili katika shule yao. Marafiki sitini, wakiwemo walimu, wazazi,na wanafunzi wenzao wa darasa moja, walihudhuria...

Ufaransa
3/5
Darasa la watoto likiandaa maonesho ya muziki ya furaha kwa ajili ya sherehe

Marafiki na majirani kutoka jumuia ya Alfortville iliyopo karibu na katikati ya Paris, walikusanyika kusherehekea tukio la kuadhimisha miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa Bahá’u’lláh. Ratiba...

Costa Rica
1/3
Jumuia ya watu wa asilia wa Costa Rica wajenga jengo jipya kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili

Pale wabaha’i wa jamii ya watu wa asilia ya Talamanca, costa Rica, walipogundua senta yao ilikua ni ndogo sana kukaribisha wageni 500 waliotarajiwa kuhudhuria sherehe za miaka mia mbili, waliamua...

Malawi
Shule ya Bambino yaandaa sherehe ya watu 1,000

Wiki moja ya mawasilisho ya wanafunzi ilifikia mwisho wake katika sherehe za miaka mia mbili ya Bahá’u’lláh zilizofanyika shuleni, zilifanywa na wazazi na viongozi wa kijiji. Zaidi ya watu 1,000...

Samoa
Matangazo ya ratiba ya Nyumba ya Ibada Samoa yakianza
UAE
1/4
Sanaa ya kaligrafia kutoka UAE

Katika roho ya kusherehekea sherehe za miaka mia mbili, kikundi cha watoto Dubai, kutoka Muungano wa Nchi za Kiarabu, walikusanya sanaa mchanganyiko za kupaka rangi. Kifungu kutoka maandiko ya...

New Zealand
1/4
Picha zilizopakwa rangi kwenye ukuta Avondale

Watu 100 walishirikiana na shule ya mtaani kupaka rangi nzuri kwenye ukuta kusheherekea utofauti. Hizi rangi za kupaka ukutani zitaoneshwa wakati wa sherehe za miaka mia mbili za jamii ya Avondale,...

Yemen
Shairi kutoka Yemen, lililotungwa kumtukuza Bahá’u’lláh
Philippines
Tafsiri mpya ya sala za watoto

Mojawapo ya mipango ya jamii ya Parañaque, Philippines, kwa ajili ya sherehe za miaka mia mbili, makusanyo ya sala za watoto za ki-Bahá’í zilitasfiriwa katika lugha ya Kifilipino na zilichorwa na...

Malaysia
1/4
Maonesho ya Jenjarom yakikaribisha uchunguzi wa ujumbe wa Bahaú’llah

Maonesho yakiitwa "Kujenga Jamii Bora" kwenye kijiji cha Jenjarom (Nje ya Kuala Lumpur) yaliandaliwa na jamii ya ki- Bahá’í kama mojawapo ya ufikiaji katika kipindi hiki cha sherehe za...

India
Maonesho ya moja kwa moja ya ratiba kutoka Nyumba ya Ibada, India ikianza

Toka kufunguliwa kwake mnamo mwaka 1986, imekadiriwa kuwa wageni millioni 100 walitembelea Nyumba ya Ibada ya ki-Bahá’í huko New-Delhi, na kuifanya kuwa moja ya sehemu zinazotembelewa zaidi sana...

Japan
Dansi ya kiasili ya Japan

Yukiko akimfundisha binti yake Mayu dansi ya kiasili ya Kijapani katika maandalizi ya sherehe zao za miaka mia mbili.

Vanuatu
1/4
Sherehe zikiendelea huko Port Villa, Vanuatu

Visiwa vya Vanuatu vimekuwa ni makao makuu ya nguvu ya shughuli katika kipindi hiki cha sherehe za miaka mia mbili. Hapa vijana wamekusanyika Port Vila kujiandaa na maandamano makubwa katika pande...

Singapore
Filamu mpya huko Singapore ikichunguza dhana za huduma na imani
PNG
1/5
Samoa
Mtoto akiangalia sherehe zinazoendelea katika Nyumba ya Ibada Samoa muda mfupi uliopita
Visiwa vya Pasifiki
1/3
Visiwa vya Pasifiki vyasheherekea miaka mia mbili

Maelfu ya visiwa vya Oceania vilivyosambaa Pasifiki vimeingia katika kipindi cha sherehe za miaka mia mbili jioni hii, tarehe 20 Oktoba.

Visiwa hivi ni makazi ya Nyumba ya Ibada ya ki-Bahá’í...

Kiribati
Jua kuchwa kuashiria mwanzo wa sherehe za miaka mia mbili

Wakati jua likizama huko Pasifiki, tamasha la sherehe za kuzaliwa kwa Báb and Bahá’u’lláh limeanza.

Katika kipindi hiki cha kihistoria cha kuashiria miaka mia mbili ya kuzaliwa kwa...